Tottenham yamfuta kazi Stellin - EDUSPORTSTZ

Latest

Tottenham yamfuta kazi Stellin

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Tottenham Hotspur, imemtimua kazi meneja wake wa muda, Cristian Stellini baada ya kuhudumu katika kipindi cha chini ya mwezi mmoja. Ryan Mason, anachukua nafasi hiyo.


Uamuzi huo unakuja baada ya Spurs kupokezwa kipigo cha magoli 6-1 na Newcastle siku ya Jumapili, Hatua ambayo Mwenyekiti wa Spurs, Daniel Levy amesema kuwa “hakikubaliki kabisa.”


Stellini, 48, aliteuliwa Machi 27 baada ya muda wa miezi 16 wa Antonio Conte kama bosi kukamilika.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz