TETESI ZA USAJILI: Simba wamalizana na Mchezaji huyu - EDUSPORTSTZ

Latest

TETESI ZA USAJILI: Simba wamalizana na Mchezaji huyu

Kupata Kifurushi cha bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Usiku wa kuamkia jana ‘Jumanne’ kabla ya kuanza safari ya kurudi Dar Mabosi wa Simba wamemalizana na beki wa kushoto wa Ihefu, Yahya Mbegu na tayari amemwaga wino kwa mkataba wa miaka miwili.


Usiku wa kuamkia jana ‘Jumanne’ kabla ya kuanza safari ya kurudi Dar Mabosi wa Simba wamemalizana na beki wa kushoto wa Ihefu, Yahya Mbegu na tayari amemwaga wino kwa mkataba wa miaka miwili. Mbegu anakwenda kuwa mbadala sahihi wa Mohammed Hussein ambae kwa muda mrefu ametawala eneo hilo.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz