Taarifa Mpya kutoka Simba ni kuhusu mabadiliko ya mechi Yao dhidi ya Ihefu - EDUSPORTSTZ

Latest

Taarifa Mpya kutoka Simba ni kuhusu mabadiliko ya mechi Yao dhidi ya Ihefu

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Mchezo wa robo fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Simba dhidi ya Ihefu Fc uliokuwa upigwe uwanja wa Uhuru, sasa utapigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi


Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema mchezo huo ambao utapigwa kesho Ijumaa, umehamishwa kutokana na uwanja wa Uhuru kuwa na matumizi mengine


Hakuna mabadiliko ya muda, mchezo utapigwa saa 10 jioniDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz