Taarifa Mpya kutoka Simba Jioni hii - EDUSPORTSTZ

Latest

Taarifa Mpya kutoka Simba Jioni hii

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Kikosi cha Simba kinaondoka jijini Dar es salaam leo kuelekea Morocco kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa pili robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Wydad Athletic


Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema msafara unaoelekea Morocco utakuwa wa awamu mbili


Awamu ya kwanza inaondoka leo saa mbili usiku ukijumuisha watu 29 wakiwa ni wachezaji na benchi la ufundi


Msafara wa pili utaondoka Jumanne, utajumuisha watu 20, wakiwa ni viongozi na kiongozi wa msafara kutoka TFF


Ahmed amesema Simba inakwenda Morocco kupambana kuhakikisha wanapata matokeo yatakayowapeleka nusu fainali siku ya Ijumaa, April 28Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz