Sugu kutoa milioni 1 Kwa Kila Goli litakalo fungwa na Mbeya City - EDUSPORTSTZ

Latest

Sugu kutoa milioni 1 Kwa Kila Goli litakalo fungwa na Mbeya City

Kupata Kifurushi cha bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini (2010-2020), Joseph Osmund Mbilinyi 'Sugu' ameahidi Kutoa Milioni Moja Kwa kila Goli litakalo fungwa na Mbeya City


Sugu amebainisha kuwa anafanya hivi ili kuipa hamasa timu hiyo isishuke Daraja"Mbeya City Stand Up!! Timu yetu iko hatarini kushuka daraja, TUSIKUBALI! Tumebakiza mechi 4 na ili kupona inabidi tushinde hata mechi 2 tu. Katika kuhamasisha Wachezaji uwanjani, nitatoa 1M kwa kila GOLI la USHINDI kwa mechi zilizobaki na mkwanja utaenda kwa mfungaji, " Sugu aliandika kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii


Mbeya City inashika nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi kuu ya NBC ikiwa kwenye eneo la play-offDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz