Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Baada ya kumtoza faini ya €300K (Tshs. Milioni 772) kwa kitendo cha kumpiga Leroy Sane, Klabu ya Fc Bayern Munich wanafikiria kumuuza Sadio Mane ifikapo mwishoni mwa msimu.
Baada ya kumtoza faini ya €300K (Tshs. Milioni 772) kwa kitendo cha kumpiga Leroy Sane, Klabu ya Fc Bayern Munich wanafikiria kumuuza Sadio Mane ifikapo mwishoni mwa msimu. Sababu kubwa hasa ya maamuzi hayo taarifa zinasema mabosi hawakufurahishwa na kitendo cha kumshambulia Leroy Sane Juma lililopita baada ya mchezo dhidi ya Man City.
Post a Comment