Robertinho, Baleke washinda tuzo za Ligi Kuu March 2023

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Kocha Mkuu wa Simba Robertinho Oliveira ameshinda tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu ya NBC kwa mwezi March 2023 wakati tuzo ya mchezaji bora ikienda kwa Jean Baleke


Katika mwezi Machi, mechi moja tu ya Ligi Kuu ilipigwa Simba ikiifumua Mtibwa Sugar mabao 3-0 Baleke akifunga hat-trik katika mchezo huo


Beleke amewashinda Daruweshi Saliboko wa KMC na Jeremiah Juma wa Tanzania Prisons


Robertinho ametwaa tuzo hiyo mbele ya Nasreddine Nabi wa Yanga na Abdallah Mohammed wa Prisons

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post