Rivers united watua tayari kuikabili Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Rivers united watua tayari kuikabili Yanga

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Msafara wa kikosi cha Rivers United, umewasili nchini Alfajiri ya leo Ijumaa kuelekea mchezo wa mkondo wa pili robo fainali ya kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga


Mchezo huo utapigwa Jumapili, April 30 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, saa 1 usiku


Wakati Rivers wakiwasili, kikosi cha Yanga kiko kambini kikiendelea na maandalizi ya mchezo huo ambao Yanga inahitaji ushindi au matokeo yoyote ya sare ili kutinga nusu fainali


Yanga ilishinda mabao 2-0 katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa UYO, NigeriaDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz