Punguzo la bei Jezi Mpya za Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Punguzo la bei Jezi Mpya za Yanga

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Wananchi Yanga SC, wameamua kupunguza bei ya jezi zao kama ofa ya Sikukuu ya Eid lakini pia kuongeza hamasa kwenye mchezo wao wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho Afrika.


Aakizungumza na wanahabari leo Aprili 19, 2023, Afisa Habari wa Yanga SC, Ally Kamwe, amesema jezi hizo za kimataifa zenye mdhamini tofauti na zile za Ligi Kuu, zilikuwa zikiuzwa shilingi elfu hamsini lakini sasa zitauzwa elfu arobaini.


"Hii ni ofa kwa mashabiki wetu kwani tucheza mchezo wetu wa kwanza wa Robo Fainali Kombe la Shirikisho Jumapili Aprili 23, 2023 siku ambayo itakuwa ndani ya shamrashamra za Sikukuu ya Idd," alisema Ally.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz