Morrison Amtia moyo Chama baada ya Simba kuondoshwa klabu bingwa - EDUSPORTSTZ

Latest

Morrison Amtia moyo Chama baada ya Simba kuondoshwa klabu bingwa

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Baada ya nyota wa Simba SC, Clatous Chama kuandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa instagram akiwashukuru Mashabiki na viongozi wa Simba kwa kuwa nao sambamba katika michuano ya klabu bingwa Afrika hata baada ya kutolewa kwenye hatua ya Robo fainali kwa mikwaju ya penati na Wydad AC hapo juzi. 

Nyota wa Yanga, Bernard Morrison ni miongoni mwa walioacha ukumbe wa kumfariji kwenye andiko hilo la Chama, Morison aliweka comment inayosomeka "Hed's up bro" na emoji ya kumpigia makofi, inaoashiria kumtia moyo Chama licha ya timu yake kutolewa kwenye michuano hiyo mikubwa ya vilabu barani Afrika.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz