Matokeo Rivers United vs Yanga Leo Jumapili April 23 - EDUSPORTSTZ

Latest

Matokeo Rivers United vs Yanga Leo Jumapili April 23

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Yanga imejiweka katika nafasi nzuri ya kutinga nusu fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Rivers United

Mabao mawili ya Fiston Mayele kutoka kwa assist mbili za Bakari Nondo Mwamnyeto yameacha kilio huko Nigeria

Kisasi kimelipwa hukohuko kwao, mabao mawili waliyofunga mwaka 2021 yote yamelipwa leo!

Ni ushindi muhimu kwa Yanga ambao sasa unawafanya wahitaji sare au ushindi katika mchezo wa marudio utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa April 30Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz