Matokeo Azam Fc vs Mtibwa sugar kombe la FA - EDUSPORTSTZ

Latest

Matokeo Azam Fc vs Mtibwa sugar kombe la FA

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Azam Fc imekuwa klabu ya pili kutinga nusu fainali kombe la FA baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa robo fainali uliopigwa uwanja wa Azam Complex


Licha ya kucheza pungufu kwa takribani dakika 60 baada ya Daniel Amoah kutolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kumfanyia madhambi CHarles Ilanfya, Azam Fc bado ilikuwa bora mbele ya Mtibwa Sugar


Mabao ya Azam yalifungwa katika kila kipindi kuputia kwa Kipre Junior na Abdul Suleiman Sopu


Azam Fc imeungana na Singida BS kuwa timu za kwanza kutinga nusu fainali kombe la FA


Mshindi wa mchezo kati ya Simba dhidi ya Ihefu Fc atachuana na Azam Fc katika nusu fainali wakati mshindi wa mchezo kati ya Yanga dhidi ya Geita Gold atachuana na Singida BSDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz