Mabosi Yanga katika Picha ya Pamoja - EDUSPORTSTZ

Latest

Mabosi Yanga katika Picha ya Pamoja

 

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


BILIONEA Gharib Said Mohamed (katikati) akiwa na Rais wa Yanga SC, Hersi Ally Said na Makamu wake, Arafat Hajji (kulia) wakijadiliana wakati wa mazoezi ya timu leo Uwanja wa TP Mazembe Jijini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Tayari mshambuliaji Mzambia, Kennedy Musonda (kushoto) aliyekuwa na timu yake ya Taifa, Chipolopolo amekwishajiunga na Yanga kuelekea mchezo wa mwisho wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, TP Mazembe Jumapili.

Kiungo Mkongo Yanick Bangala anaonekana yuko fiti kabisa kuelekea mchezo huo dhidi ya timu ya nyumbani kwao, DRC.


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz