Fountain Gate yashinda mashindano ya shule Afrika - EDUSPORTSTZ

Latest

Fountain Gate yashinda mashindano ya shule Afrika

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Timu ya wasichana ya shule ya sekondari ya Fountain Gate Dodoma, imeibuka mabingwa wa mashindano ya soka ya shule za Afrika ya CAF


Ni baada ya ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa fainali dhidi ya Ecole Omar Ibn Khatab ya Morocco huko Afrika Kusini


Mashindano hayo yaliokuwa yanawakutanisha mabingwa wa kanda za Afrika kwa Wavulana na Wasichana, yamefanyika mjini Durban nchini Afrika Kusini na yalianza katikati mwa wiki hii


Haya ni mafanikio makubwa zaidi kwa timu hiyo, ambayo ilipata nafasi baada ya kuibuka mabingwa wa mashindano hayo katika Kanda ya Afrika Mashariki na kati (Cecafa).Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz