Dongo la Ally Kamwe Kwa Simba "Hawabebi kitu" - EDUSPORTSTZ

Latest

Dongo la Ally Kamwe Kwa Simba "Hawabebi kitu"

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 "Tukiwa na Unbeaten 49, tukapoteza dhidi ya Ihefu, tena ikiwa nafasi ya mwisho kwenye msimamo.. Ilituumiza. Lakini nini kilifuata baada ya pale ?! Tulishinda mechi 13 za ligi mfululizo, tukafuzu robo fainali ya CAF, na kama haitoshi tukafuzu nusu fainali (FA)"


"Unafikiri hayo yote yalitokea kwa bahati mbaya ? Si kweli. Siri nyuma yake ni kutopoteza FOCUS. FOCUS yetu ni nini msimu huu ? Kubeba Makombe"


"Kila mwanayanga anataka kuiona timu yake ikibeba kombe la ligi kuu, FA na Ubingwa wa Africa Tunaimaliza April. Mwezi unaofuata, In shaa Allah utakuwa mwezi wa mapigano makubwa katika kuyatimiza malengo yetu"


"Vyakula vyote vizuri bado viko juu ya meza yetu. Tutulie na tushikane Wananchi. Kupoteza pambano sio kupoteza vita. Jana tumepoteza pointi (3) hatujapoteza malengo yetu ya Ubingwa msimu huu"


"Ushindi wa Kolo naufananisha na ushindi wa mke wa Achraf Hakimi . Ameshinda kesi lakini mgao Nehi Hivyo Kolo yoyote akikupigia kelele leo, mwambie Wewe huna tofauti na mke wa Hakimi,, Blaa blaa nyingi lakini wako palepale "


"Yanga tuko TOP OF THE TABLE na tutakwenda kuzimalizia mehi (4) za mwisho kwa nguvu kubwa zaidi INSHAA ALLAH"


"Kituo kinachofuata tunakwenda Nigeria . Mnawajua Wachezaji wetu, hii itakuwa mechi kubwa ya wao kupambana kuhakikisha tunashinda Mchezo huo na kuwapelekea Wananchi nusu fainali"Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz