Ditram Nchimbi ageukia kilimo - EDUSPORTSTZ

Latest

Ditram Nchimbi ageukia kilimo

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mchezaji wa soka wa zamani wa klabu ya Yanga, Azam FC na zingine nyingi, Ditram Nchimbi (26) amegeukia shughuli ya Kilimo baada ya kuachana na klabu ya Fountain Gate inayoshiriki Ligi ya Championship.


Kupitia katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram, Nchimbi amesema kuwa maisha ya Kilimo ameyakuta na ndiyo yaliomkuza mpaka watu kumfanya waamfahamu katika soka.


“Nimezaliwa na kuyakuta haya maisha ndiyo yalinikuza na nikawa huyu Ditram unayemfahamu wewe kwa vile unamfahamu na kumuona ulikomuona” aliandika


Nchimbi ameendelea kwa kuwakaribisha watu mbalimbali katika mkoa wa Tunduru; ”Karibuni Tunduru mengine ni baraka za Mungu ila tumetoka huku”.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz