Al Nassr yatupwa nje Kombe la Mfalme - EDUSPORTSTZ

Latest

Al Nassr yatupwa nje Kombe la Mfalme

Ofa ya Bando la Internet wiki BURE Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Klabu ya Al Nassr FC ya Saudi Arabia anakochezea Mreno Cristiano Ronaldo imetupwa nje ya michuano ya kombe la mfalme kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya Al Wehda FC kwenye nusu fainali huku Cristiano Ronaldo akishindwa kufunga bao kwenye mchezo wa tatu mfululizo.


FT: Al Nassr FC 0-1 Al Wehda FC Goli limefungwa na Beauguel 23'


Al Nassr FC imefurushwa kwenye kikombe cha pili baada ya kuondoshwa pia kwenye Super Cup.


Al Wehda imetinga fainali ambapo itachuana na Al Hilal iliyotinga fainali kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Al Ittihad FC.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz