Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Yanga imewakumbusha Wanachama na Mashabiki wake ambao wangependa kusafiri na timu DR Congo kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe ambao utapigwa April 02, safari ni Alhamisi March 30
Yanga inahitaji 'vibe' la mashabiki wake huko Lubumbashi katika mchezo ambao wanahitaji ushindi dhidi ya TP Mazembe ili kujihakikishia nafasi ya kwanza kwenye kundi D
Gharama ya safari ni Tsh 700,000/- ambayo ni nauli ya kwenda na kurudi, vibali, malazi ya siku tatu na tiketi ya kuingia uwanjani
No comments:
Post a Comment