Yanga yaifuata Tp mazembe kibabe - EDUSPORTSTZ

Latest

Yanga yaifuata Tp mazembe kibabe

PICHAZ: Yanga yaifuata TP Mazembe, Yanga vs TP Mazembe live,Young Africans vs TP Mazembe lineups,Yanga vs TP Mazembe head to head,Yanga vs TP Mazembe prediction,TP Mazembe vs yanga 2023,Where to watch Young Africans vs TP Mazembe,Yanga vs TP Mazembe 2023 results,Yanga vs TP Mazembe leo,Yanga vs TP Mazembe live,Yanga vs TP Mazembe leo.
Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA

Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA

Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

KIKOSI cha Yanga SC kimeondoka leo Alhamisi ya Machi 30,2023 kwenda Jijini Lubumbashi, DR Congo kwaajili ya mchezo wa kukamilisha ratiba hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya TP Mazembe unaotajiwa kupigwa Jumapili ya Aprili 02,2023.

Yanga ipo kileleni mwa Kundi D kwa faida ya magoli ikiwa na pointi 10 sawa na US Monastir, sasa inasaka rekodi ya kumaliza hatua ya makundi ikiwa nafasi hiyo ambayo ina faida ya kuanzia ugenini mchezo wa Robo Fainali na kumalizia nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar es salaam.

Kwenye mchezo huo wa Jumapili vs TP Mazembe, Yanga SC itahitaji ushindi mnono ambao utaifanya US Monastir itayocheza dhidi ya Real Bamako isiwfikie ili kujihakikishia nafasi hiyo ya Kwanza kwenye Kundi D.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa TP Mazembe Jijini Lubumbashi, DR Congo kuanzia Saa 10:00 Jioni.

PICHAZ: Yanga yaifuata TP Mazembe, Yanga vs TP Mazembe live,Young Africans vs TP Mazembe lineups,Yanga vs TP Mazembe head to head,Yanga vs TP Mazembe prediction,TP Mazembe vs yanga 2023,Where to watch Young Africans vs TP Mazembe,Yanga vs TP Mazembe 2023 results,Yanga vs TP Mazembe leo,Yanga vs TP Mazembe live,Yanga vs TP Mazembe leo.

Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz