Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Msafara wa kikosi cha Simba umwesili salama nchini Morocco kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Raja Casablanca
Mchezo huo utapigwa usiku wa kuamkia Jumamosi, April 1 saa 7 usiku
Baada ya kutua Morocco, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally amesema kikosi kitakuwa na mpumziko na watafanya mazoezi yao ya mwisho majira ya usiku
Muda wa mchezo unaweza kuwa changamoto kwa Watanzania kwani watalazimika kusubiri April 1 saa saba usiku wakati kwa Morocco mchezo utapigwa March 31 saa nne usiku
No comments:
Post a Comment