Robo Fainali Azam Sports Federation Cup 2023 |
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Bonyaza HAPA
Droo ya Michezo ya Robo Fainali ya Michuano ya Kombe la Azam Sports Federation Cup 2022/23, imefanyika mchana huu huku kila Timu ikipata nafasi ya kumjua mpinzani wake.Robo Fainali ya Kwanza ni Simba SC, ambao watakabiliana na Ihefu huku Simba wakiwa ndio wenyeji wa mchezo huo.Robo Fainali ya Pili, Singida Big Stars watakuwa nyumbani Uwanja wa Liti kuwakaribisha Mbeya City.Robo Fainali ya Tatu itakuwa ni Bingwa mtetezi Yanga kwa wakati mwingine wanaikaribisha Geita Gold FC.Na Robo Fainali ya nne, Matajiri wa Jiji, Azam FC watakuwa nyumbani kuwakaribisha Mtibwa Sugar.Timu Zilizofuzu Robo Fainali Azam Sport Federation Cup 2023 |
Timu Zilizofuzu Robo Fainali Azam Sport Federation Cup 2023 |
No comments:
Post a Comment