Tetesi za usajili barani ulaya Leo Jumamosi - EDUSPORTSTZ

Latest

Tetesi za usajili barani ulaya Leo Jumamosi

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA

Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
 

Real Madrid wanajiandaa kulipa €240,000,000 kiasi kilichowekwa kwenye mkataba wa Erling Haaland, kipengele hicho kitaanza kufanya kazi mwaka 2024 (Transfers News Live)


Kuonekana akiwa na winga wa Arsenal Bukayo Saka pamoja na gwiji wa zamani wa klabu hiyo, Ian Wright, kumeongeza tetesi zaidi za kiungo wa West Ham, Declan Rice za kuhamia Arsenal katika dirisha kubwa lijalo (WrightOfficial)


Inaelezwa Manchester United inapewa kipaumbele zaidi cha kumsajili mshambuliaji wa Napoli Victor Osimhen - lakini itahitaji kulipa ada ya uhamisho ya kuvunja rekodi ya uhamisho England (The Sun football)


Chelsea inaripotiwa kutaka kuvunja mkataba wa mshambuliaji wake Pierre-Emerick Aubameyang, kiwa ni chini ya mwaka mmoja tangu wamsajili mwezi Agosti mwaka jana (The sun Football).


Thomas Tuchel ndiye kocha mpya wa Bayern. Mkataba wake utampeleka mpaka June 2025, karibu miaka miwili na nusu. Amemrithi Julian Nagelsmann (Romano).Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz