Mohammed Hussein na Kibu Dennis kuikosa mechi ya Raja - EDUSPORTSTZ

Latest

Mohammed Hussein na Kibu Dennis kuikosa mechi ya Raja

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA

Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA

Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Mlinzi wa SimbaMohammed Hussein ‘Zimbwe’ na Kibu Denis watakosa mechi ya mwisho ya Simba ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca ugenini.

Hatua hiyo imekuja baada ya kutimiza kadi ya pili ya njano kwa kila mmoja kwenye mechi ya Jumamosi waliyoibuka na ushindi wa mabao 7-0 dhidi ya Horoya.

Simba itakamilisha michezo ya hatua ya Makundi dhidi ya Raja Casablanca mchezo utakaopigwa Morocco.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz