Lilikuwa ni suala la muda kati ya Conte na Tottenham - EDUSPORTSTZ

Latest

Lilikuwa ni suala la muda kati ya Conte na Tottenham

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 

Meneja Antonio Conte ameondoka Tottenham Hotspur kwa makubaliano baada ya kuiongoza kwa miezi 16


Conte aliwaita wachezaji wa Spurs 'wabinafsi' na kukosoa utamaduni wa klabu hiyo katika mkutano na waandishi wa habari baada ya kutoka sare ya hivi majuzi dhidi ya Southampton.


Tottenham wako katika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi lakini wako nje ya mashindano yote ya vikombe


Msaidizi wa Conte Cristian Stellini atakua kocha mkuu kwa msimu hadi mwishoni mwa msimu, huku kiungo wa zamani Ryan Mason akiwa Msaidizi wake


"Tumebakiza mechi 10 za Premier League na tunapigana mikononi mwetu kuwania nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa. Sote tunahitaji kuvuta pamoja. Kila mmoja anapaswa kujituma ili kuhakikisha tunamaliza vyema msimu," alisema Daniel LevyDownload our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz