Vinara wa ligi kuu ya NBC Yanga Jumapili watashuka uwanja wa Azam Complex, Chamazi kuikabili Geita Gold katika mchezo wa ligi raundi ya 24
Wakiwa kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama nane, Yanga wanahitaji kushinda mechi nne zinazofuata ili kutetea ubingwa kwa msimu wa pili mfululizo
Nabi afunguka kinachoendelea kati yake na beki mpya wa Yanga Mamadou Dombia
Wananchi wanazihitaji alama zote tatu katika mchezo dhidi ya Geita Gold ili kuzidi kusogelea ubingwa wa 29 katika historia
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo utakaopigwa saa 12:15 jioni ambao VIP A ni Tsh 10,000/-. VIP B ni Tsh 5,000/- na Mzunguuko ni Tsh 2,000/-
Je unatafuta Ajira tembelea tovuti hii Sasa Kwa matangazo yote ya kazi BOFYA HAPA SASA
No comments:
Post a Comment