Kauli ya Feisal Salum kuelekea mechi ya Tanzania vs Uganda - EDUSPORTSTZ

Latest

Kauli ya Feisal Salum kuelekea mechi ya Tanzania vs Uganda

 

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA

Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA

Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Kiungo wa Yanga, Feisal Salum 'Fei Toto' baada ya kutua nchini Misri amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu maandalizi ya mechi dhidi ya Uganda kufuzu Afcon 2023.

Fei Toto akihojiwa na kituo cha televisheni cha Azam amesema wamejiandaa vizuri na wanaahidi ushindi kwa watanzania.

"Kweli kuna wachezaji wapya na mwalimu mpya ila Uganda tunawaheshimu ni timu nzuri ina wachezaji wazuri, ila tutaipambania Taifa Stars ili tupatematokeo,"

Ameongeza; " Katika mechi mbili watuombee dua na tutapata matokeo kwa uwezo wake Mungu,"


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz