Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mapema leo Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) liliweka hadharani ratiba ya mechi za robo fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)
Mechi za robo fainali zinataratiwa kupigwa mwanzoni mwa mwezi April 2023 kama ilivyoainishwa kwenye ratiba;
Ratiba Azam Sports Federation Robo Fainali
No comments:
Post a Comment