Haji manara amlipukia Tena Fei toto - EDUSPORTSTZ

Latest

Haji manara amlipukia Tena Fei toto

 

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


Juzi na last week kule Misri nilikutazama vzuri, kila hatua na kila moment, nilikuona una ubora ule ule ila unachokosa ni ile speed yako ya maamuzi.

Na hii imesababishwa na kukosa kwako match fitness, Mcheza mpira hata atrain vipi kama hapati mechi za kucheza kuna kitu kitapungua tu kwake,,,na ndio maana team nyingi zinakuwa na mechi maalum Kwa wale Wachezaji wasio na nafasi sana ktk vikosi vyao, au wale waliotoka ktk Majeruhi.

Fei narudia tena na tena na tena, haya ni maisha yako wewe, hakuna mbadala na hakuna mwema zaidi yako wewe binafsi, na Hayupo mbaya katika maisha yako kuliko wewe mwenyewe.

Kupanga ni kuchagua mdogo wangu,.turudi kula Ugali na Sugar au nije kesho unipeleke na mimi nikale Urojo Foro?

Mechi zinakuhitaji ili ubaki Bora, wenzio wote wamerudi katika team zao, wewe upo mtaani, usikubali Hivi vitu, football ni Ajira yako na maisha yako dogo.

Au ile Transaction ya leo imekuchanganya Mwana?😀😀


Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz