De Gea agomea mkataba mpya Manchester united - EDUSPORTSTZ

Latest

De Gea agomea mkataba mpya Manchester united

Kuingiza pesa Mtandaoni bure Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mlinda Lango David De Gea amekataa ofa ya kwanza ya Manchester United ya mkataba mpya, lakini kutakuwa na awamu ya pili ya mazunumzo


Kwa mujibu wa Laurie Whitwell, David De Gea ametakiwa kupunguza mshahara wake ili aweze kusalia Manchester United


Hata hivyo mwenyewe anaona kiwango chake msimu huu bado kinamuweka kama mmoja wa wachezaji muhimu kwa Erik Ten Hag na malipo yanapaswa kufuatwa ipasavyo


Mkataba wake unoelekea ukingoni aliusaini mwaka 2019 akipokea mshahara wa £375,000 kwa wiki. Ndiye mchezaji anayelipwa fedha ndefu zaidi katika klabu ya Mancheset United



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz