VIDEO: Robertinho aiwahi Singida Big Stars - EDUSPORTSTZ

Latest

VIDEO: Robertinho aiwahi Singida Big Stars

VIDEO: Robertinho aiwahi Singida Big Stars

VIDEO: Robertinho aiwahi Singida Big Stars

VIDEO: Robertinho aiwahi Singida Big Stars

VIDEO: Robertinho aiwahi Singida Big Stars

Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Gonçalves do Carmo ‘Robertinho’ amerejea nchini usiku wa kuamkia leo akitokea kwao Brazil.

Uongozi wa Simba ulimpa Mshambuliaji huyo za zamani wa Brazil ruhusa maalum ya kusafiri Brazil kwaajili ya kushughulikia masuala yake binafsi.

Katika muda ambao Robertinho hakuwepo, Juma Mgunda ambaye ni Kocha msaidizi alisimamia mazoezi pamoja na mchezo wa Azam Sports Federation Cup hatua ya 32 Bora dhidi ya Coastal Union, ambapo Simba ikiibuka na ushindi wa bao 1-0

Robertinho amereja haraka kuendelea na majukumu yake huku akiwa na siku mbili za kukiandaa kikosi chake kuelekea mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Singida Big Stars Football Club ya Singida.

Mchezo huo wa raundi ya 22 Mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu wa 2022/2023 unatarajiwa kupigwa Ijumaa hii ya Februari 03, 2023 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam.

 

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

The post VIDEO: Robertinho aiwahi Singida Big Stars appeared first on Nijuze Mpya.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz