MAKIPA Wanaoongoza kwa Clean sheets NBC Premier League 2022/2023 - EDUSPORTSTZ

Latest

MAKIPA Wanaoongoza kwa Clean sheets NBC Premier League 2022/2023

MAKIPA Wanaoongoza kwa Clean sheets NBC Premier League 2022/2023

MAKIPA Wanaoongoza kwa Clean sheets NBC Premier League 2022/2023

Makipa Vinara wa Clean sheets NBC Premier League 2022/2023, Vinara wa CleanSheets NBC Premier League 2022/2023, Makipa Wanaoongoza kwa Clean sheets Ligi Kuu ya NBC, Wanaoongoza kwa Clean sheets Ligi Kuu Tanzania Bara, Makipa Bora Ligi Kuu ya NBC, Makipa Bora Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023, NBC Premier League, Ligi Kuu ya NBC, NBC PL Updates, NBC PL.

MAKIPA Wanaoongoza kwa Clean sheets NBC Premier League 2022/2023

MAKIPA Wanaoongoza kwa Clean sheets NBC Premier League 2022/2023

Golikipa wa klabu ya Simba SC Aishi Manula ndiye mlinda mlango mwenye Clean Sheets nyingi zaidi kwenye Ligi kuu ya NBC mpaka sasa ambapo amefikisha Clean Sheets 10 akifungana na Golikipa wa Young Africans SC Djigui Diarra mwenye Clean sheets 10 pia.

Manula ndiye Golikipa nambari 1 wa timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) ambapo amekuwa na kiwango kizuri sana takribani miaka yote ya uchezaji wake toka akiwa Azam na sasa akiwa Simba.

Pia golikipa huyo amechukua nyingi za golikipa bora mara kwa hapa Tanzania baada ya kuwa na mfululizo wa ubora, japokuwa msimu uliopita alipitwa na mlinda mlango wa Yanga Djigui Diara.

Hii hapa listi ya Magolikipa wanaoongoza kwa kucheza mechi nyingi bila kuruhusu goli langoni mwao (clean sheets) hadi kufikia February 04, 2023.

1:Djigui Diarra – Yanga SC = 13
2:Aishi Manula – Simba SC = 11.
3:Ali Ahmada – Azam FC = 8.
4:Said Kipao – Kagera Sugar FC = 6.
5:Metacha Mnata – Singida Big Stars = 6.
6:Mohmoud Mroivili – Coastal Union = 6.
7:David Kissu – KMC FC = 5.
8:Jonathan Nahimana – Namungo FC = 5
9: Hussein Abell – Tanzania Prisons = 4.
10:Aaron Kalambo – Dodoma Jiji FC = 4.

Wanaoongoza kwa Clean sheets NBC Premier League 2022/2023, Aishi Manula, Djigui Diarra, Makipa Bora Ligi Kuu ya NBC, Ligi Kuu 2022/2023, vinara Clean sheets NBC, NBC Premier League Makipa Bora, Rekodi za Makipa Bora 2022/2023, Cleansheet Tanzania Premier League 2022/2023, Makipa Vinara wa uokoaji NBC Premier League 2022/2023.

Makipa wanaoongoza kwa kucheza mechi nyingi bila kuruhusu goli, magolikipa wanaoongoza kwa kucheza mechi nyingi bila kufungwa goli.

Magolikipa wenye Clean Sheets nyingi NBC Premier League 2022/2023, Makipa wenye Clean Sheets nyingi NBC Premier League 202/2023, Aishi Manula Simba SC, Djigui Diarra Yanga SC.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.

The post MAKIPA Wanaoongoza kwa Clean sheets NBC Premier League 2022/2023 appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz