KIKOSI Cha TP Mazembe kinachokuja Tanzania vs Yanga 19 February 2023 - EDUSPORTSTZ

Latest

KIKOSI Cha TP Mazembe kinachokuja Tanzania vs Yanga 19 February 2023

KIKOSI Cha TP Mazembe kinachokuja Tanzania vs Yanga 19 February 2023

KIKOSI Cha TP Mazembe kinachokuja Tanzania vs Yanga 19 February 2023

KIKOSI Cha TP Mazembe kinachokuja Tanzania vs Yanga 19 February 2023, Yanga vs TP Mazembe, Yanga SC vs TP Mazembe CAF Confederation Cup, Yanga vs TP Mazembe 19 February 2023.

KIKOSI Cha TP Mazembe kinachokuja Tanzania vs Yanga 19 February 2023, Yanga vs TP Mazembe, Yanga SC vs TP Mazembe CAF Confederation Cup, Yanga vs TP Mazembe 19 February 2023

KIKOSI Cha TP Mazembe kinachokuja Tanzania vs Yanga 19 February 2023

KIKOSI cha Klabu ya TP Mazembe ya DR Congo kinachosafiri kuja nchini Tanzania kwaajili ya mchezo wa hatua ya Makundi ya Kombe pa Shirikisho Afrika dhidi ya Yanga SC.

Mchezo huo wa pili kwa timu zote unatarajiwa kupigwa Jumapili hii ya February 19, 2023 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam kuanzia saa 1:00 Usiku.

Nyota wa zamani wa Yanga, Mukoko Tonombe anayekipiga hapo TP Mazembe hayupo kwenye orodha hiyo.

Orodha kamili ya Wachezaji 25 wa Klabu ya TP Mazembe wanaosafiri kuja nchini kwaajili ya mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika vs Young Africans 19 February 2023

1:Suleman Shaibu
2:Narcisse Nlend
3:Djos Issama
4:Gilroy Chimwemwe
5:Amédée Masasi
6:Johnson Atibu
7:Tandi Mwape
8:Kevin Mundeko
9:Ismail Ganiyu
10:Christian Kouame
11:Boaz Ngalamulume
12:Glody Likonza
13:Serge Mukoko

Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni

14:Adam Bossu
15:Soze Zemanga
16:Patient Mwamba
17:Michael Gopey
18:Etienne Mayombo
19:Ernest Luzolo
20:Philippe Kinzumbi
21:Joël Beya
22:Rainford Kalaba
23:Merceil Ngimbi
24:Alex Ngonga
25:Jephté Kitambala

Katika hatua nyingine, Afisa habari wa Klabu hiyo, Ali Kamwe amesema kuwa ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk Samia Suluhu Hassan kutoa Tsh Milioni 5 kwa kila goli litakalofungwa kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe, ni amri kwao

Kamwe amesema kuwa wamejiandaa na watapambana ili kupata ushindi katika mchezo huo.

Kamwe ameongeza kuwa Yanga itatumia silaha zao zote walizonazo ili kuhakikisha wanashinda mchezo huo.

“Hii ahadi ya Mh Rais Dk Samia Suluhu kwetu ni kama amri hivyo tunapaswa kushinda mchezo huo na tutatumia silaha zetu zote kufanikisha hilo,” amesema Ali Kamwe

Aidha Viingilio vya mchezo ni Tsh 30,000 kwa VIP A, Tsh 20, 000 kwa VIP B na Tsh 10,000 kwa VIP C.

Kwa Mzunguuko itakuwa Tsh 3,000 kama utanunua tiketi mapema na Tsh 5,000 endapo utanunua tiketi siku ya mchezo February 19 2023.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

The post KIKOSI Cha TP Mazembe kinachokuja Tanzania vs Yanga 19 February 2023 appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz