YANGA yamtambulisha Mudathir Yahya - EDUSPORTSTZ

Latest

YANGA yamtambulisha Mudathir Yahya

YANGA yamtambulisha Mudathir Yahya

YANGA yamtambulisha Mudathir Yahya

Yanga yamsajili Mudathir Yahya, Mudathir Yahya atua Yanga, Mudathir Yahya Yanga SC, Mudathir Yahya Young Africans SC, Mudathir Yahya Tanzania, Mudathir Yahya Mudathir Young Africans Sports Club, Mudathir Yahya Yanga sc, Usajili wa Mudathir Yahya Yanga, Usajili wa Yanga Tanzania, Usajili wa Mudathir Yahya kutua Yanga, Usajili wa Mudathir Yahya kusajiliwa Yanga.

YANGA yamtambulisha Mudathir Yahya

YANGA yamtambulisha Mudathir Yahya

KLABU ya Yanga SC, imemtambulisha Kiungo Mzanzibar, Mudathir Yahya baada ya kusaini mkataba wa kuwatumikia Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu ya NBC.

Mkataba huo umesainiwa leo mbele ya Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said na mtendaji mkuu Andre Mtine.

YANGA yamtambulisha Mudathir Yahya

YANGA yamtambulisha Mudathir Yahya

Baada ya kusaini mkataba huo, Mudathir amepanda boti na kuelekea Zanzibar kwaajili ya kujiunga na kikosi cha Yanga kwaajili ya mashindano ya Kombe la Mapinduzi yaliyoanza January 01, 2023.

YANGA yamtambulisha Mudathir Yahya

YANGA yamtambulisha Mudathir Yahya

Mudathir anatua Yanga SC kama Mchezaji huru baada ya mkataba wake kumalizika June 30, 2022.

Mudathir amekuwa na Azam FC tokea mwaka 2011, alipojiunga na kituo cha Azam Academy kabla ya kupandishwa timu kubwa mwaka 2013.

Mudathir mwenye umri wa miaka 26 anamudu vyema kucheza nafasi zote za Kiungo.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.

The post YANGA yamtambulisha Mudathir Yahya appeared first on Nijuze Mpya.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz