Wachezaji wa Yanga waliokwenda Zanzibar (Mapinduzi Cup 2023) - EDUSPORTSTZ

Latest

Wachezaji wa Yanga waliokwenda Zanzibar (Mapinduzi Cup 2023)

WACHEZAJI wa Yanga waliokwenda Zanzibar (Mapinduzi Cup 2023)

Wachezaji wa Yanga waliokwenda Zanzibar (Mapinduzi Cup 2023)

Wachezaji wa Yanga waliokwenda Zanzibar (Mapinduzi Cup 2023), RATIBA ya mechi za Yanga Mapinduzi Cup 2023, Ratiba ya Mapinduzi Cup 2023, Ratiba Kombe la Mapinduzi Zanzibar, Yanga Kushiriki Mapinduzi Cup 2023, ratiba ya Yanga SC Mapinduzi Cup 2023, ratiba ya Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2023, ratiba ya Fainali Mapinduzi Cup 2023, ratiba Mapinduzi Cup Zanzibar.

WACHEZAJI wa Yanga waliokwenda Zanzibar (Mapinduzi Cup 2023)

WACHEZAJI wa Yanga waliokwenda Zanzibar (Mapinduzi Cup 2023)

ORODHA ya Wachezaji wa 25 wa Kikosi cha Young Africans wakiongozwa na Kocha Msaidizi Cerdic Kaze waliosafiri kuelekea Zanzibar, kwaajili ya Kombe la Mapinduzi.

Timu zitakazoshiriki Kombe la Mapinduzi 2023, Makundi ya Kombe la Mapinduzi, Makundi Mapinduzi Cup 2023, ratiba ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar, Ratiba Mapinduzi Cup 2023.

1:Erick Johora (Golikipa)
2:Hajji Mohamed Abassi (Golikipa )U20
3:Jacob Timothy Ipwaya (Golikipa) 4:Bakari Nondo
5:Ibrahim Abdullah “Bacca”
6:Abdallah Shaibu “Ninja”
7:David Bryson
8:Maulid Kiakala (U20)
9:Ally Said Mohamed (U20)
10:Mohamed Omary (U20)

Wengine ni
11:Zawadi Mauya
12:Farid Mussa
13:Gael Bigirimana
14:Arafat Hussein (U20)
15:Ahmed Fred Dennis (U20)
16:Crispin Ngushi
17:Maulid Tamila (U20)
18:Yacouba Sogne
19:Dickson Ambundo
20:Clement Mzize

Wengine ni
21:Lazarus Kambole
22:Nasri Ally Daud (U20)
23:Raymond Ntaudyimara (U20)
24:Daruwesh Rashid Ahmed (U20)
25:Shaibu Shaibu Mtita (U20)

Yanga vs Singida Big Stars FC, Yanga vs Singida Big Stars Football Club, Yanga vs Singida Big Stars, Yanga vs KMKM, Yanga SC vs KMKM, Yanga Sports Club SC vs KMKM FC.

Yanga wanatarajiwa kushuka dimbani Jumatano ya January 04, 2023 kucheza mchezo wa kwanza dhidi ya KMKM saa 2:15 Usiku kwenye Uwanja wa Amaan Mjini Unguja Visiwani humo.

Na mchezo wa pili utakuwa dhidi ya Singida Big Stars ukitarajiwa kupigwa January 06, 2023 saa 2:15 Usiku kwenye Uwanja huo huo wa Amaan Mjini Unguja Visiwani humo.

Baada ya kukamilika kwa Makundi itafuata michezo Nusu Fainali ambapo Nusu Fainali ya kwanza itazikutanisha Kinara wa Kundi A dhidi ya kinara wa Kundi B, January 08, 2023 kuanzia saa 2:15 Usiku.

Nusu Fainali ya pili itakuwa kati ya kinara wa Kundi C dhidi ya kinara wa Kundi D, January 09, 2023 kuanzia saa 2:15 Usiku.

Na mchezo wa Fainali utapigwa January 13, 2023 kuanzia saa 2:15 Usiku.

Michezo yote hiyo itapigwa kwenye Uwanja wa Amaan, Mjini Unguja Visiwani Zanzibar.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.

The post Wachezaji wa Yanga waliokwenda Zanzibar (Mapinduzi Cup 2023) appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz