VIINGILIO Simba vs Coastal Union January 28 2023 Azam Sports Federation Cup
Viingilio Simba vs Coastal Union leo January 28 2023 Azam Sports Federation Cup, viingilio Simba vs Coastal Union Football Club, viingilio ya Simba vs Coastal Union FC, viingilio Simba SC Coastal ASFC, Simba Sports Club vs Coast Union fc.
Klabu ya Simba SC inatarajiwa kucheza mchezo unaofuata dhidi ya Coastal Union kesho Jumamosi ya February 28, 2023.
Mchezo huo utakaopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam utakuwa wa hatua ya 32 bora Michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC).
Kuelekea mchezo huo ambao utapigwa kuanzia majira ya saa 1:00 Usiku, Klabu ya Simba imetangaza viingilio ambapo kwa VIP A itakuwa Tsh 15,000 tu.
Viingilio vingine ni Tsh 10,000 kwa VIP B na C na Mzunguuko itakuwa ni Tsh 5,000.
Tiketi zinapatikana kupitia vituo vilivyoainishwa hapa chin;
- MAJINA ya waliotwa kwenye usaili Jeshi Polisi 2023
- MAJINA ya walioitwa kwenye usaili Idara ya Uhamiaji 2023
- Wachezaji wapya waliosajiliwa Simba na Yanga dirisha dogo 2022/2023
- MATOKEO ya droo raundi ya 32 na 16 Bora ASFC 2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- NECTA: Matokeo ya Darasa la nne 2022/2023
- NECTA: Matokeo ya Kidato cha Pili 2022/2023
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- Simba yapangwa kundi C CAF Champions League 2022/2023
- Yanga yapangwa kundi D CAF Confederation Cup 2022/2023
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.
The post VIINGILIO Simba vs Coastal Union January 28 2023 Azam Sports Federation Cup appeared first on Nijuze Mpya.
No comments:
Post a Comment