VIDEO: Mo Dewji akutana na Wachezaji Dubai, aeleza nia yake kwenye CAF - EDUSPORTSTZ

Latest

VIDEO: Mo Dewji akutana na Wachezaji Dubai, aeleza nia yake kwenye CAF

VIDEO: Mo Dewji akutana na Wachezaji Dubai, aeleza nia yake kwenye CAF

VIDEO: Mo Dewji akutana na Wachezaji Dubai, aeleza nia yake kwenye CAF

VIDEO: Mo Dewji akutana na Wachezaji Dubai, aeleza nia yake kwenye CAF

VIDEO: Mo Dewji akutana na Wachezaji Dubai, aeleza nia yake kwenye CAF

RAIS wa heshima wa Klabu ya Simba SC, Mohamed Dewji amekutana na kuzungumza na Wachezaji na benchi la ufundi huko Dubai.

Mo amewaeleza Wachezaji kuwa nia yake ni siku moja kuona Simba inafanikiwa kutwaa Ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.

Ameyasema hayo baada ya kutembelea kambi ya Klabu hiyo iliyopo Mjini Dubai ambapo amewaambia wachezaji kuwa kila kitu kinawezekana kama watafanya jitihada kwenye mechi zote.

Kabla ya kufika hatua ya kuchukua Ubingwa wa Afrika, Mo amewataka wachezaji wapambane kuhakikisha wanarejesha Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC na Kombe la Shirikisho la Azam ambao msimu uliopita waliupoteza.

“Siku zote dhamira yangu ni kuhakikisha tunachukua Ubingwa wa Kombe la Afrika na hilo linawezekana kama tukiweka nia.

“Kabla ya yote kwanza tuanze na kurejesha Ubingwa wetu wa Ligi pamoja na Kombe la FA hilo ndilo kubwa, imani yangu ni kuwa kila kitu kinawezekana kama tukiweka jitihada,” amesema Mo.

Katika Mazungumzo hayo Mo Dewji ametoa shukrani kwa wadhamini, Mwenyekiti Bodi na wajumbe wanaomaliza muda wao katika Uongozi.

Pia ametoa amewatakia Wanachama Mkutano Mkuu mwema, ametoa shukrani kwa mashabiki na neno la shukrani kwa Mtendaji Mkuu anayemaliza muda wake Babra Gonzalez.

 

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.

The post VIDEO: Mo Dewji akutana na Wachezaji Dubai, aeleza nia yake kwenye CAF appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz