RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi - EDUSPORTSTZ

Latest

RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi

RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi

RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi

Timu ambazo Yanga ikutana nazo CAF Confederation Cup 2022/2023, Wapinzani wa Yanga Makundi ya CAF Confederation Cup 2022/2023, Timu zitakazokutana na Yanga SC Makundi ya Kombe la Shirikisho 2022/2023, CAF Confederation Cup 2022/2023, Makundi ya CAF Confederation Cup, Makundi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika 2022/2023, Droo ya CAF Yanga yapangwa kundi D CAF Confederation Cup 2022/2023.

RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi

RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi

Hatua ya Makundi ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika inatatajiwa kuanza kutimua vumbi February 12, 2023 na Wananchi Young Africans wakianzia ugenini nchini Tunisia dhidi ya US Monastir.

Simba yapangwa kundi C CAF Champions League 2022/2023 tazama droo kamili hapa

Yanga yapangwa kundi D CAF Confederation Cup 2022/2023 tazama droo kamili hapa

Kwa mara nyingine tena Wananchi watarejea nchini Tunisia ambako walikata tiketi ya kutinga hatua ya Makundi baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Club Africain.

Baada ya mchezo huo Yanga itarejea nchini kuikabili TP Mazembe ya DR Congo, mchezo utakaopigwa February 19, 2023 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Yanga itasafiri hadi Mali kuwakabili Real Bamako February 26, 2023 kisha kurejea Jijini Dar es salaam kwaajili mechi ya mkondo wa pili dhidi ya Real Bamako ambayo itapigwa March 08, 2023.

KOMBE la Dunia LIVE Kwenye Nijuze Habari APP

Msimamo Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023

Ratiba ya Makundi CAF Confederation Cup, Ratiba ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika 2022/2023, ratiba ya Makundi CCC 2022/2023, ratiba Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya Makundi 2022/2023, ratiba Yanga hatua ya Makundi CAF Confederation Cup 2022/2023.

RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi

RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi

Yanga itawakaribisha US Monastir kutoka Tunisia March 19, 2023 katika mchezo wa mwisho wa nyumbani kabla ya kusafiri hadi DR Congo kuikabili TP Mazembe April 02, 2023.

WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023

Katika Michezo yote 6, Klabu ya Young Africans inahitaji kukusanya alama zote tisa za nyumbani na kupata angalau sare mbili ugenini ili kujihakikishia tiketi ya kutinga Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup 2022/2023).

RATIBA ya Kundi D CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi

RATIBA ya Kundi D CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi

Yanga vs TP Mazembe, Yanga vs US Monastir, Yanga vs Real Bamako, Yanga SC vs Real Bamako, Yanga SC TP Mazembe, Yanga SC vs US Monastir, Young Africans vs US Monastir, Young Africans TP Mazembe, Young Africans vs US Monastir, TP Mazembe vs Yanga SC, US Monastir vs Yanga SC, Real Bamako vs Yanga CAF Confederation Cup, droo ya CAF Yanga yapangwa kundi D CAF Confederation Cup 2022/2023.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Donwlod HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

RATIBA ya Kundi D CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi

The post RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz