Ratiba ya mechi za Yanga zinazofuata January + February 2023 - EDUSPORTSTZ

Latest

Ratiba ya mechi za Yanga zinazofuata January + February 2023

Ratiba ya mechi za Yanga zinazofuata January + February 2023

Ratiba ya mechi za Yanga zinazofuata January + February 2023

Ratiba ya mechi za Yanga zinazofuata January + February 2023

Ratiba ya mechi za Yanga zinazofuata January + February 2023

Klabu ya Young Africans tayari imerejea mazoezini baada ya mapumziko kutoka mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ambao walifanikiwa kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting.

Mazoezi hayo ni kuelekea mechi za hatua ya Makundi ya Michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika na Ligi Kuu huku mchezo mmoja ukiwa ni wa Azam Sports Federation Cup.

Mwezi February michezo ya hatua ya Makundi ya Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika inatarajiwa kuanza huku Yanga ikikabiliwa na michezo mitatu kwa mwezi huo.

Klabu ya Young Africans itasafiri hadi Tunisia kwaajili ya mchezo wa kwanza wa Makundi ya CAF Confederation Cup dhidi ya US Monastir utakaopigwa February 12, 2023.

Baada ya mchezo dhidi ya US Monastir, Young Africans itarejea nyumbani kucheza mchezo wa pili wa Makundi dhidi TP Mazembe ya DR Congo February 19, 2023.

Baada ya mchezo huo Young Africans itasafiri hadi Mali kwaajili ya mchezo wa tatu wa Makundi dhidi ya Real Bamako February 26, 2023.

Katika mwezi February pia Young Africans inatarajiwa kucheza mechi mbili za Ligi Kuu dhidi ya Namungo FC na KMC FC.

Ratiba kamili ya Young Africans kwa mechi zinazofuata tumekuwekea hapa chini!

👉January 29, 2023 | Azam Sports Federation Cup
19:00 Young Africans vs Rhino Rangers

👉February 03, 2023 | NBC Premier League
18:15 Young Africans vs Namungo FC

👉February 12, 2023 | CAF Confederation Cup
16:00 US Monastir vs Young Africans

👉February 19, 2023 | CAF Confederation Cup
16:00 Young Africans vs TP Mazembe

👉February 22, 2023 | NBC Premier League
19:00 KMC FC vs Young Africans

👉February 26, 2023 | CAF Confederation Cup
16:00 Real Bamako vs Young Africans

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

The post Ratiba ya mechi za Yanga zinazofuata January + February 2023 appeared first on Nijuze Mpya.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz