RATIBA ya mechi za Simba zinazofuata January + February 2023 - EDUSPORTSTZ

Latest

RATIBA ya mechi za Simba zinazofuata January + February 2023

RATIBA ya mechi za Simba zinazofuata January + February 2023

RATIBA ya mechi za Simba zinazofuata January + February 2023

Simba vs Coastal union, Simba SC vs Coastal union FC, Simba vs Coastal, Simba vs Singida Big Stars FC, Simba vs Singida Big Stars, Simba SC vs Singida Big Football Club, Simba Sports Club vs Singida Big Stars.

RATIBA ya mechi za Simba zinazofuata January + February 2023

RATIBA ya mechi za Simba zinazofuata January + February 2023

Baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji, klabu ya Simba imerejea Jijini Dar es salaam kwaajili ya maandalizi ya mchezo unaofuata wa kombe la FA (Azam Sports Federation Cup) dhidi ya Coastal Union ambao unatarajiwa kuchezwa kati January 27-29 kwenye Uwanjani wa Benjamin Mkapa.

Baada ya mchezo huo Simba itaanza maandalizi ya mechi 5 za mwezi February 2023

Mchezo wa kwanza wa mwezi February utakuwa wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Singida Big Stars ambao utapigwa kwenye Uwanjani wa Benjamin Mkapa February 03, 2023.

Simba vs Horoya Athletic club, Simba SC vs Horoya Athletic club, Simba SC vs Horoya Ac, Simba vs Horoya, Simba vs Raja Casablanca, Simba SC vs Raja Casablanca.

Klabu hiyo itasafiri hadi Guinea kwaajili ya mchezo dhidi ya Horoya Athletic club February 10, 2023 ukiwa ni mchezo wa kwanza wa hatua ya Makundi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kundi C.

Baada ya mchezo huo Simba itarejea nchini kwaajili ya kuikabili Raja Casablanca ya Morocco February 17, 2023 ukiwa ni mchezo wa pili hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika.

Baada ya mchezo huo Simba itaingia kwenye maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Azam Fc February 21, 2023 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Baada ya mchezo huo Simba itasafiri hadi nchini Uganda kwaajili ya mchezo wa tatu wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Vipers FC February 25, 2023.

Simba Sports Club vs Raja Casablanca, Simba vs Azam FC, Simba SC vs Azam FC, Simba Sports Club vs Azam Football Club, Simba vs Azam, Simba vs Vipers SC, Simba SC vs Vipers, Simba Sports Club vs Vipers Sports Club.

Ratiba kamili ya michezo ijayo ya Simba January na February 2023.

👉January 27-29, 2023 | Azam Sports Federation Cup
Simba SC vs Coastal Union FC

👉February 03, 2023 | NBC Premier League
Simba SC vs Singida Big Stars FC

👉February 10, 2023 | CAF Champions League
Horoya Athletic club vs Simba SC

👉February 17, 2023 | CAF Champions League
Simba SC vs Raja Casablanca

👉February 21, 2023 | NBC Premier League
Simba SC vs Azam FC

👉February 25, 2023 | CAF Champions League
Vipers SC vs Simba SC

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam Tanzania, Founded in 1936, the club, which broke away from another Tanzania Giants, Dar Young Africans was named Queens, in honor of her Majesty, the Queen of England.The Club had several name changes from Queens to Eagles, then, Sunderland

Founded in 1936, the club, which broke away from another Tanzania Giants, Dar Young Africans was named Queens, in honor of her Majesty, the Queen of England.

The Club had several name changes from Queens to Eagles, then, Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for “Lion”).

Simba SC have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.

Simba play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium. In 2022, Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

The club is one of the richest in East Africa, with a total budget of Sh 6.1 Billion (equivalent to $5.3 million) unveiled for the 2019/2020 season.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.

The post RATIBA ya mechi za Simba zinazofuata January + February 2023 appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz