RATIBA ya mechi za Simba Mapinduzi Cup 2023 - EDUSPORTSTZ

Latest

RATIBA ya mechi za Simba Mapinduzi Cup 2023

RATIBA ya mechi za Simba Mapinduzi Cup 2023

RATIBA ya mechi za Simba Mapinduzi Cup 2023

Ratiba ya Mapinduzi Cup 2023, Ratiba Kombe la Mapinduzi Zanzibar, ratiba ya Mapinduzi Cup 2023, Simba Kushiriki Mapinduzi Cup 2023, ratiba ya Simba SC Mapinduzi Cup 2023, ratiba ya Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2023, ratiba ya Fainali Mapinduzi Cup 2023, ratiba Mapinduzi Cup Zanzibar.

RATIBA ya mechi za Simba Mapinduzi Cup 2023

RATIBA ya mechi za Simba Mapinduzi Cup 2023

Timu zitakazoshiriki Kombe la Mapinduzi 2023, Makundi ya Kombe la Mapinduzi, Makundi Mapinduzi Cup 2023, ratiba ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar, Ratiba Mapinduzi Cup 2023.

BAADA ya Ligi Kuu ya NBC kusimama kwaajili ya kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, kikosi cha Simba kinaelekea Visiwani humo kwaajili ya Kushiriki Michuano hiyo inayotamatika January 13, 2023.

Simba ambao ndio Mabingwa Watetezi wa Michuano hiyo wamepangwa Kundi C pamoja na timu za Mlandege na KVZ.

Simba wamedhamiria kutetea taji hilo kwa mwaka huu wa 2023.

Simba wanatarajiwa kushuka dimbani keshokutwa Jumanne ya January 03, 2023 kucheza mchezo wa kwanza dhidi ya Mlandege FC saa 2:15 Usiku kwenye Uwanja wa Amaan Mjini Unguja Visiwani humo.

Na mchezo wa pili utakuwa dhidi ya KVZ ukitarajiwa kupigwa January 05, 2023 saa 2:15 Usiku kwenye Uwanja huo huo wa Amaan Mjini Unguja Visiwani humo.

Baada ya kukamilika kwa Makundi itafuata michezo Nusu Fainali ambapo Nusu Fainali ya kwanza itazikutanisha Kinara wa Kundi A dhidi ya kinara wa Kundi B, January 08, 2023 kuanzia saa 2:15 Usiku.

Nusu Fainali ya pili itakuwa kati ya kinara wa Kundi C dhidi ya kinara wa Kundi D, January 09, 2023 kuanzia saa 2:15 Usiku.

Na mchezo wa Fainali utapigwa January 13, 2023 kuanzia saa 2:15 Usiku.

Michezo yote hiyo itapigwa kwenye Uwanja wa Amaan, Mjini Unguja Visiwani Zanzibar.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.

The post RATIBA ya mechi za Simba Mapinduzi Cup 2023 appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz