Nadir Cannavaro Mataji 18, ataja siri ya kukaa ya kukaa muda mrefu Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

Nadir Cannavaro Mataji 18, ataja siri ya kukaa ya kukaa muda mrefu Yanga

Nadir Cannavaro Mataji18, ataja siri ya kukaa ya kukaa muda mrefu Yanga

Nadir Cannavaro Mataji 18, ataja siri ya kukaa ya kukaa muda mrefu Yanga

Nadir Cannavaro Mataji18, ataja siri ya kukaa ya kukaa muda mrefu Yanga

Nadir Cannavaro Mataji 18, ataja siri ya kukaa ya kukaa muda mrefu Yanga

BEKI wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania Nadir Haroub Ali mwenye umri wa miaka 40 ndiye gwiji wa klabu Yanga SC akiichezea kwa takribani miaka 12.

Kutokana na ubora wake Uwanjani Mashabiki walimpachika jina la Cannavaro, wakimfananisha na beki wa zamani wa timu ya taifa ya Italia, Fabio Cannavaro.

Kwenye miaka 12 aliyoichezea Young Africans baada ya kujiunga nayo mwaka 2006 akitokea Malindi ya Zanzibar ameshinda jumla ya mataji 18 yanayomfanya awe mchezaji mwenye mafanikio makubwa kuliko mchezaji yeyote kwenye Klabu hiyo kuanzia mwaka 2000 hadi sasa.

Cannavaro ameshinda mataji saba ya Ligi Kuu Tanzania Bara mwaka 2006, 2008, 2009, 2011, 2013, 2015, 2016 na 2017, mawili ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, mawili ya Kombe la Tusker, manne ya Ngao ya Jamii na moja Kombe la FA.

Mkongwe huyo pia ameiongoza Yanga SC kufuzu hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika mara mbili mwaka 2016 na 2018.

Pamoja na staili yake ya kucheza jwa kutumia nguvu, Nadir Cannavaro ni miongoni mwa Wachezaji ambao ilikuwa ni nadra kuadhibiwa kwa utovu wa nidhamu na mara kwa mara alionyeshwa kadi kwa rafu za kawaida mchezoni.

Akizungumza Nadir alisema siri ya yeye kucheza kwa muda mrefu kwenye kiwango cha juu katika timu kubwa yenye presha kama Yanga, ni kujitunza nje ya uwanja na kuzingatia sana mazoezi.

“Siri ya kukaa muda mrefu Yanga na kucheza kwenye kiwango cha juu ni kujitunza pindi wanapokuwa nje ya uwanja na kujiepusha na mambo yanayoweza kuhatarisha vipaji vyao kama vilevi, ngono na ulaji usiokuwa na mpangilio hasa vyakula vya mafuta,” alisema Cannavaro.

Kwenye miaka 12 aliyovaa jezi ya Wananchi na timu ya Taifa ya Tanzania, beki huyo kisiki kutoka Zanzibar amekutana na Washambuliaji wengi wakali lakini kwake wanakiri waliomsumbua zaidi ni Samuel Eto’o wa Cameroon, Didier Drogba wa Ivory Coast na Haruna Moshi “Boban” wa Simba SC.

Nadir pia amewashukuru mashabiki wa Yanga SC kwa upendo wao kwenye kipindi chote alichokaa Yanga, kwani Klabu hiyo ilimsaidia sana kujenga marafiki wazuri katika maisha yake.

“Nawashukuru sana Yanga kwa kunipokea na kunilea katika kipindi chote. Kila kitu kwenye maisha yangu kimetokea Yanga. Nimejenga marafiki wengi wazuri sana pale. Najivunia sana kuwa sehemu ya historia ya Klabu yetu,” alisema Nadir.

Nadir Haroub Ali (born 10 February 1982) is a Tanzanian former footballer who last played for Young Africans FC as a defender.

He is one among club’s long serving member as he played more than 200 games in his 16-year spell with Young Africans.

Full name: Nadir Haroub Ali
Date of birth: 10 February 1982 (age 40)
Place of birth: Michenzani, Zanzibar, Tanzania
Height: 5 ft 11 in (1.80 m)
Position(s): Centre Back
Current team: Young Africans FC
Number: 32

Senior career
2000–2003 – Young Africans FC
2003–2005- Malindi FC
2006–2018 – Young Africans FC

International career
2006–2017 – Tanzania
2008–2017 – Zanzibar

Haroub’s nickname Cannavaro is in reference to the way he plays the game as a defender similar to Fabio Cannavaro.

Nadir Haroub was made Young Africans and Tanzania national team captain after the retirement of long serving captain Shadrack Nsajigwa in 2012.

Also he captained Zanzibar national team in most Cecafa tournaments and friendly matches during his playing time.

After his retirement, Haroub remained with Young Africans SC as first team coach during 2017 to 2019.

On 13 August 2009 left Young Africans FC of the Tanzanian Premier League who played from 2006 to 2009 on loan to Vancouver Whitecaps Residency, formerly played one season in the Zanzibar Premier League.

Haroub represented the Tanzania national football team in qualifying matches for the FIFA World Cup and the Africa Cup of Nations, and in friendly matches.

He capped 13 times for Tanzania in three different editions of the FIFA World Cup qualifiers (2010, 2014 and 2018).

Being Zanzibari, he played for the Zanzibar national football team in seven editions of the CECAFA Cup (from 2007 to 2012, and 2015).

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.

The post Nadir Cannavaro Mataji 18, ataja siri ya kukaa ya kukaa muda mrefu Yanga appeared first on Nijuze Mpya.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz