MATOKEO Yanga vs Dar City mechi ya Kirafiki January 19 2023 - EDUSPORTSTZ

Latest

MATOKEO Yanga vs Dar City mechi ya Kirafiki January 19 2023

MATOKEO Yanga vs Dar City mechi ya Kirafiki January 19 2023

MATOKEO Yanga vs Dar City mechi ya Kirafiki January 19 2023

MATOKEO Yanga vs Dar City mechi ya Kirafiki January 19 2023

MATOKEO Yanga vs Dar City mechi ya Kirafiki January 19 2023

Klabu ya Young Africans inaendelea kujifua kwenye Viwanja vya Avic Town kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Ruvu Shooting FC.

Mchezo huo wa raundi ya 21 unatarajiwa kupigwa Jumatatu ya January 23, 2023 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa

Katika program ya mazoezi ya jioni Klabu hiyo ilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Dar City ya Jijini hapo na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0.

Aidha Wachezaji wote wa Yanga tayari wamerejea kambini na Bernard Morrison, Stephane Aziz Ki na Yannick Bangala wameshiriki program za mazoezi hayo.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.

The post MATOKEO Yanga vs Dar City mechi ya Kirafiki January 19 2023 appeared first on Nijuze Mpya.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz