MATOKEO ya droo raundi ya 32 na 16 Bora ASFC 2023 - EDUSPORTSTZ

Latest

MATOKEO ya droo raundi ya 32 na 16 Bora ASFC 2023

MATOKEO ya droo raundi ya 32 na 16 Bora ASFC 2023

MATOKEO ya droo raundi ya 32 na 16 Bora ASFC 2023

MATOKEO ya droo raundi ya 32 na 16 Bora ASFC 2023, Yanga vs Rihno Rangers, Yanga SC vs Rhino Rangers, Young Africans vs Rhino Rangers, Rhino Rangers vs Young Africans SC, Rhino Rangers vs Yanga, Simba vs Coast Union, Simba SC vs Coastal Union FC, Simba Sports Club vs Coastal Union Football Club, Simba vs Coastal, Simba sc vs Coastal Union.

MATOKEO ya droo raundi ya 32 na 16 Bora ASFC 2023

MATOKEO ya droo raundi ya 32 na 16 Bora ASFC 2023

Droo ya hatua ya 32 na 16 bora Michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), imefanyika leo Ijumaa January 13, 2023 kwenye Studio za Azam TV, Tabata Jijini Dar es salaam.

Droo hiyo ilizihusisha timu za Ligi Kuu, Championship, First League, RCL na timu za FA, ambapo imekamilika na matokeo ya droo hiyo tumekuwekea hapa.

Matokeo ya droo ya 32 Bora ya Azam Sports Federation Cup 2023 (ASFC) ambapo Simba SC imepangwa kucheza dhidi ya Coastal Union, Yanga dhidi ya Rhino Rangers huku Azam FC ikipangwa dhidi ya Dodoma Jiji.

Hii hapa ratiba ya 32 Azam Sports Federation Cup (ASFC) 2023

 • Young Africans vs Rihno Rangers
 • Simba SC vs Coast Union FC
 • Azam FC vs Dodoma Jiji FC
 • Geita Gold FC vs Nzega United
 • Ihefu SC vs Namungo FC
 • Tanzania Prison FC vs Mashujaa
 • Mtibwa Sugar FC vs Buhaya FC
 • Ruvu Shooting vs Singida Big Stars

Droo ya ASFC 2023, Kombe la Shirikisho la Azam Sports, Azam Sports Federation Cup, ASFC, Droo ya ASFC, Droo ya FA, Droo ya 32 Bora Azam Sports Federation Cup, Droo ya 16 Bora Azam Sports Federation Cup.

 • Mashujaa FC vs Tanzania Prisons
 • KMC FC vs Copco FC
 • Gwambina FC vs Pan African FC
 • New Dundee FC vs African Sports
 • Mapinduzi FC vs Polisi Katavi FC
 • Polisi Tanzania FC vs JKT Tanzania
 • Mbeya Kwanza FC vs Mbeya City
 • Green Warriors vs Mbuni FC

Mechi za hatua ya 32 Bora zitacheza January 27 mpaka 29, 2023

Mshindi katika hatua hii atafuzu moja kwa moja hatua hatua ya 16 bora ya ASFC.

MATOKEO YA DROO YA 16 BORA YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP 2023 (ASFC)

Ratiba kamili ya hatua ya 16 Bora Azam Sports Federation Cup 2023

 • Namungo/Ihefu vs Gwambina/Pan African
 • Yanga/Rhino Rangers vs Mashujaa /Tanzania Prisons
 • Kagera Sugar/Kengold vs Mbeya Kwanza/Mbeya City
 • Mtibwa Sugar/Buhaya vs KMC FC/Copco
 • Singida Big Stars/Ruvu Shooting vs Polisi Tanzania/JKT Tanzania
 • Azam FC/Dodoma Jiji vs Mapinduzi FC/Polisi Katavi
 • Geita Gold/Nzega United vs Green Warriors/Mbuni
 • Simba SC/Coastal Union vs NEW Dundee/African Sports

Hizi ni ratiba ya mechi za timu ambazo zitafanikiwa kutinga hatua ya 16 Bora ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) ambapo michezo yake inatarajiwa kuchezwa kati ya March 03-05, 2023.

Simba vs Coastal Union FC, Azam vs dodoma Jiji FC, Azam FC vs Dodoma Jiji FC, Ruvu shooting vs Singida Big Stars FC, Ruvu Shooting vs Singida Big Stars, FA Cup 2023, Azam Sports Federation Cup 2022/2023, droo raundi ya nne ASFC 2023, Droo Kamili Kombe la FA, Droo ya Kombe la TFF, Droo ya Azam Sports Federation Cup 2022/2023.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.

The post MATOKEO ya droo raundi ya 32 na 16 Bora ASFC 2023 appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz