MATOKEO Simba vs KVZ leo tarehe 5 January 2023 - EDUSPORTSTZ

Latest

MATOKEO Simba vs KVZ leo tarehe 5 January 2023

MATOKEO Simba vs KVZ leo tarehe 5 January 2023

MATOKEO Simba vs KVZ leo tarehe 5 January 2023

MATOKEO Simba vs KVZ leo tarehe 5 January 2023, matokeo Simba vs KVZ FC, Matokeo Simba vs KVZ, Matokeo Simba Sports Club vs KVZ fc, matokeo Simba SC vs KVZ leo, matokeo Simba SC vs KVZ SC leo, matokeo Simba sc vs kvz fc leo, live Simba vs kvz leo, LIVE Simba SC vs KVZ.

MATOKEO Simba vs KVZ leo tarehe 5 January 2023

MATOKEO Simba vs KVZ leo tarehe 5 January 2023

Klabu ya Simba SC itacheza mchezo unaofuata dhidi ya KVZ ya Zanzibar tarehe 5 January 2023 kuanzia saa 2:15 Usiku.

Mechi hiyo itakuwa ya pili kwenye Michuano ya Kombe la Mapinduzi Visiwani Zanzibar mwaka huu 2023 kwa upande wa timu zote mbili na mechi ya mwisho kwenye hatua hiyo ya Makundi.

Mechi hiyo itakapoanza, utaweza kufuatilia Matokeo ya moja kwa moja ya Simba SC dhidi ya KVZ, Msimamo Kundi C, Matokeo ya moja kwa moja na takwimu za mechi hiyo, dakika baada ya dakika.

LIVE Updates: Simba SC vs KVZ | Mapinduzi Cup 2023 (LIVE from Amaan Stadium Zanzibar)

Simba Sports Club ni klabu ya soka yenye maskani yake Mtaa wa Kariakoo, Dar es Salaam Tanzania, Ilianzishwa mwaka 1936.

Klabu ilikuwa na mabadiliko kadhaa ya majina kutoka Queens hadi Eagles, kisha, Sunderland.

Jina kamili Simba Sports Club, Ilianzishwa 1936, miaka 86 iliyopita, Simba mechi za nyumbani inatumia Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Jiji Dar es Salaam, Tanzania, Uwanja ambao una uwezo wa kubeba watu 60,000.

Wanachama wa klabu ya Simba wana asilimia 51 za umiliki wa Klabu hiyo na Mwekezaji Mohammed Dewji (MO) ana asilimia 49 ya hisa za klabu.

Simba ni Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara jwa msimu wa 2021-2022.

Simba SC imeshinda mataji 21 ya Ligi na vikombe vitano vya nyumbani, na imeshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika mara nyingi.

Pia ni moja ya vilabu vikubwa Afrika Mashariki, wakiwa wametwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara sita.

Mnamo 2022, Simba ilikuwa akaunti ya Instagram iliyokua kwa kasi zaidi kati ya vilabu vya soka, ikiwa na wafuasi milioni 1.9 na ukuaji wa 89% kutoka mwaka uliopita.

Klabu hiyo ni mojawapo ya matajiri zaidi Afrika Mashariki, ikiwa na jumla ya bajeti ya Sh 6.1 Bilioni (sawa na $5.3 milioni) iliyozinduliwa kwa msimu wa 2019/2020.

KVZ Sports Club ni klabu ya soka ya Tanzania/Zanzibar. Timu inayoshiriki Ligi Kuu ya Zanzibar.

Jina kamili ni Kikosi cha Valantia Zanzibar Sports Club Ligi Kuu ya Zanzibar Timu hiyo inashiriki Ligi Kuu ya Zanzibar.

Walishiriki Kombe la Shirikisho la CAF kwa mara ya kwanza mwaka 2017.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.

MATOKEO Simba vs KVZ January leo tarehe 5 January 2023

The post MATOKEO Simba vs KVZ leo tarehe 5 January 2023 appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz