MATOKEO Simba vs Dodoma Jiji leo 22 January 2023 - EDUSPORTSTZ

Latest

MATOKEO Simba vs Dodoma Jiji leo 22 January 2023

MATOKEO Simba vs Dodoma Jiji leo 22 January 2023

MATOKEO Simba vs Dodoma Jiji leo 22 January 2023

MATOKEO Simba vs Dodoma Jiji leo 22 January 2023, matokeo Simba vs Dodoma Jiji Football Club, matokeo ya Simba vs Dodoma Jiji FC, matokeo Simba SC Dodoma FC, matokeo Simba Sports Club vs Dodoma Jiji fc, simba vs Dodoma Jiji, Magoli yote ya Simba vs Dodoma Jiji FC, LIVE Simba vs Dodoma Jiji.

MATOKEO Simba vs Dodoma Jiji leo 22 January 2023

MATOKEO Simba vs Dodoma Jiji leo 22 January 2023

KLABU ya Dodoma Jiji FC itacheza mchezo unaofuata dhidi ya Simba SC tarehe 22 January 2023 kuanzia bsaa 1:00 Usiku.

Mechi hiyo ni ya Ligi Kuu ya NBC raundi ya 21 mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2022/2023.

Kwa sasa, Dodoma Jiji FC inashika nafasi ya 12, huku Simba SC ikishika nafasi ya 2 kwenye Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC.

Kupitia ukurasa huu utaweza kupata matokeo yote ya awali ya Dodoma FC dhidi ya Simba SC yakiwa yamepangwa kulingana na mechi zao walizokutana.

Mechi hiyo itakapoanza, utaweza kufuatilia matokeo ya moja kwa moja ya Dodoma Jiji FC ve Simba SC, Msimamo, matokeo ya moja kwa moja na takwimu za mechi hiyo dakika baada ya dakika.

Dodoma Jiji FC mechi ya awali ilikuwa dhidi ya Geita Gold kwenye Ligi Kuu ya NBC, ambapo Geita Gold ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Simba SC wao mechi ya awali ilikuwa dhidi ya Mbeya City FC kwenye Ligi Kuu, ambapo walifanikiwa kuibuka na ushindi mabao 3 – 2.

Kupitia Nijuze Habari tutakuletea Matokeo ya Dodoma Jiji FC vs Simba SC Leo. Matokeo ya Dodoma Jiji vs Simba moja kwa moja kupitia Ukurasa huu.

Tembelea ukurasa huu mara kwa mara ili kupata taarifa zote za moja kwa moja kuhusu simba vs Dodoma Jiji FC, Matokeo ya moja kwa moja za Simba vs Dodoma Jiji yatakujia Mubashara kupitia ukurasa huu.

Matokeo Dodoma Jiji vs Simba SC Leo, Taarifa zote na matokeo ya mechi zimewekwa hapa chini, Tembelea ukurasa huu mara kwa mara ili kupata matokeo yote kuhusu mechi hii ya Kirafiki ya Kimataifa.

Mchezo huo utachezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma kuanzia saa 1:00 Usiku.

Mchezo huo pia utakuwa LIVE kwenye App yetu ya Nijuze TV unaweza Download ðŸ‘‰HAPA ili uweze kuutazama Mubashara Kiganjani Mwako.

Matokeo ya mechi 5 walizokutana Simba SC vs Dodoma Jiji FC, Simba ikiwa imeshinda mechi zote 5.

02 October 2022 | NBC Premier League
FT Simba SC 3 – 0 Dodoma Jiji

07 March 2022 | NBC Premier League
FT Simba SC 2 – 0 Dodoma Jiji FC

01 October 2021 | NBC Premier League
FT Dodoma Jiji 0 – 1 Simba SC

27 April 2021 | NBC Premier League
FT Simba SC 3 – 1 Dodoma Jiji

04 February 2021 | NBC Premier League
FT Dodoma Jiji 1 – 2 Simba SC

Matokeo ya mechi 5 zilizopita za Simba Sports Club

21/12/2022 | NBC Premier
FT Kagera Sugar 1 – 1 Simba SC

26/12/2022 | NBC Premier League
FT KMC FC 1 – 3 Simba SC

30/12/2022 | NBC Premier League
FT Simba SC 7 – 1 Tanzania Prisons

15/01/2023 | Friendly March
FT CSKA Moscow 2 – 2 Simba SC

18/01/2023 | NBC Premier League
FT Simba SC 3 – 2 Mbeya City FC

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.

The post MATOKEO Simba vs Dodoma Jiji leo 22 January 2023 appeared first on Nijuze Mpya.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz