MATOKEO Kombe la Mapinduzi Zanzibar 2023
MATOKEO Kombe la Mapinduzi Zanzibar 2023, Mapinduzi Cup 2023, Kombe la Mapinduzi 2023, Kombe la Mapinduzi Zanzibar, Mapinduzi Cup 2023 Zanzibar, timu zikakazoshiriki Mapinduzi Cup 2023.
- MAKUNDI na Ratiba ya Kombe la Mapinduzi 2023
- MABADILIKO ya ratiba Ligi Kuu ya NBC kuanzia raundi ya 20-30 2022/2023
Mapinduzi Cup ni Mashindano ya kwanza ya mtoano ya soka. Kwa heshima ya Mapinduzi ya Zanzibar, jina Mapinduzi maana yake ni Mapinduzi.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar lilianzisha mashindano ya Mapinduzi Cup kama mashindano ya kuenzi sherehe za kila mwaka za Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar January 12.
Mwaka wa kuanzishwa kwa kombe hilo ulikuwa 1998. Kombe hilo hata hivyo linawaniwa na vilabu vya Tanzania Bara na Zanzibar.
Matokeo na Ratiba Mapinduzi Cup 2023, Ratiba Mapinduzi Cup 2023 Fixture, Matokeo Mapinduzi Cup 2022/2023, Ratiba Mapinduzi Cup, Mapinduzi cup 2022, Mapinduzi Cup Fixtures 2023.
Vilabu kutoka Kenya na Uganda, Rwanda na Burudani huwa vinaalikwa kushiriki mara kwa mara kuanzia mwaka 2013.
Mashindano hayo matatu ni Mashindano ya tatu makubwa ya mtoano ya Zanzibar, pamoja na Kombe la Zanzibar na Kombe la Nyerere.
Timu zitakazoshiriki Kombe la Mapinduzi 2023, Makundi ya Kombe la Mapinduzi, Makundi Mapinduzi Cup 2023, ratiba ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar, Ratiba Mapinduzi Cup 2023.
Matokeo ya Kombe la Mapinduzi 2023.
January 01, 2023 Mapinduzi Cup
FT Mlandege 1-1 KVZ
FT Malindi SC 2-0 Jamhuri SC
January 02, 2023 Mapinduzi Cup
FT Aigle Noir SC 1-1 Chipukizi United
FT Singida Big Stars 2 – 0 KMKM
January 03,2023 Mapinduzi Cup
FT Azam FC 1- 1 Malindi SC
FT Simba SC 0-1 Mlandege
January 04, 2023 Mapinduzi Cup
FT Namungo FC 0-0 Chipukizi
FT Yanga SC 1-0 KMKM
January 05, 2023 Mapinduzi Cup
FT Jamhuri 0-3 Azam FC
FT KVZ 0-1 Simba SC
January 06, 2023 Mapinduzi Cup
FT Namungo 1-0 Aigle Noir
FT Yanga SC 1-1 Singida Big Stars
January 08, 2023 Nusu Fainali ya Kwanza Mapinduzi Cup
FT: Azam FC 1-4 Singida Big Stars
January 09, 2023, Nusu Fainali ya Pili Mapinduzi Cup
FT Mlandege FC 1-1 Namungo FC (P:5-4)
Mlandege yatinga Fainali baada ya kuitupa nje Namungo FC kwa jumla ya mikwaju ya penati 5-4.
Sasa ni rasmi Singida Big Stars itacheza na Mlandege kwenye mchezo wa Fainali January 13 saa 2:15 Usiku kwenye Uwanja wa Amaan Mjini Unguja Visiwani humo.
January 13,2023, Fainali Mapinduzi Cup
FT Singida Big Stars 0-2 Mlandege
ratiba ya Azam Mapinduzi Cup 2023, ratiba ya Simba SC Mapinduzi Cup 2023, ratiba ya Yanga SC Mapinduzi Cup 2023, ratiba ya Singida Big Stars Mapinduzi Cup 2023, ratiba ya Nusu Fainali Mapinduzi Cup 2023, ratiba ya Fainali Mapinduzi Cup 2023, ratiba Mapinduzi Cup Zanzibar.
Aidha Nusu Fainali ya kwanza itazikutanisha kinara wa Kundi A dhidi ya kinara wa Kundi B na Nusu Fainali ya pili ni kinara wa Kundi C dhidi ya kinara wa Kundi D.
Michezo yote hiyo itapigwa kwenye Uwanja wa Amaan, Mjini Unguja Visiwani Zanzibar.
Timu zitakazoshiriki Mapinduzi Cup 2023,All Fixtures, Matokeo Mapinduzi Cup 2023 ,Results & Fixtures for this Tournament, Matokeo Mapinduzi Cup 2023 Fixtures for this Tournament.
- MAJINA ya Wanafunzi na Shule walizochaguliwa form one 2023
- Msimamo Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- Simba yapangwa kundi C CAF Champions League 2022/2023
- Yanga yapangwa kundi D CAF Confederation Cup 2022/2023
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
DONWLOAD HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.
Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.
The post MATOKEO Kombe la Mapinduzi Zanzibar 2023 appeared first on Nijuze Mpya.
No comments:
Post a Comment