MABADILIKO ya Ratiba NBC Premier League kwa michezo minne 2023 - EDUSPORTSTZ

Latest

MABADILIKO ya Ratiba NBC Premier League kwa michezo minne 2023

MABADILIKO ya Ratiba NBC Premier League kwa michezo minne

MABADILIKO ya Ratiba NBC Premier League kwa michezo minne 2023

Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC, ratiba ya Ligi Kuu 2022/2023, ratiba NBC Premier League 2022/2023, ratiba NBC Premier League, ratiba raundi ya Ligi Kuu ya NBC 2022/2023, ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023.

MABADILIKO ya Ratiba NBC Premier League kwa michezo minne

MABADILIKO ya Ratiba NBC Premier League kwa michezo minne 2023

Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara Nijuze Habari, ratiba Ligi Kuu Tanzania Bara nijuzempya.com, Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC nijuzempya.com, NBC Premier League Fixtures, NBC Premier League Table, ratiba ya NBC Premier League 202/2023, NBC Tanzania Premier League NBC 2022/2023.

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya mabadiliko ya ratiba katika michezo minne (4) ya Ligi Kuu ya NBC kama ifuatavyo:

1.Mchezo namba 164 Young Africans SC dhidi ya Ruvu Shooting FC uliopangwa kuchezwa January 21, 2023 saa 1:00 usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam, sasa utachezwa January 23, 2023 saa 1:00 Usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam.

2.Mchezo namba 153 Singida BS FC dhidi ya Kagera Sugar FC uliopangwa kuchezwa January 16, 2023 saa 10:00 alasiri katika uwanja wa Liti uliopo Singida, sasa utachezwa January 17, 2023 saa 10:00 alasiri katika Uwanja wa Liti uliopo Singida.

3.Mchezo namba 166 Kagera Sugar FC dhidi ya Coastal Union FC uliopangwa kuchezwa January 20, 2023 saa 1:00 usiku katika uwanja wa Kaitaba uliopo Kagera, sasa utachezwa January 21, 2023 saa 3:00 usiku katika uwanja wa Kaitaba uliopo Kagera.

4.Mchezo namba 157 Simba SC dhidi ya Mbeya City FC uliopangwa kuchezwa January 17, 2023 saa 1:00 Usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam, sasa utachezwa January 18, 2023 saa 1:00 usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam.

Bodi ya Ligi imetaja sababu za mabadiliko hayo ni kama zifuatavyo;

1.Uwanja wa Benjamin Mkapa utakuwa na Matumizi mengine January 21, 2023.

2.Ratiba ya mchezo wa Fainali ya mashindano ya Mapinduzi Cup 2023 imeathiri mchezo namba 153 na mchezo namba 166.

3.Changamoto ya Usafiri kwa klabu ya Simba SC kurejea nchini wakitokea Dubai.

NBC Table 2022/2023 | Ratiba ya ligi kuu Tanzania bara 2022/2023 including scores, fixtures, results, form guide & league position, visit nijuzempya.com, NBC Tanzania Premier League Table 2022/2023, NBC Premier League standings (Msimamo wa NBC) 2022/2023, NBC results Matokeo NBC Leo na Jana 2022/2023.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.

The post MABADILIKO ya Ratiba NBC Premier League kwa michezo minne 2023 appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz