KOCHA Robertinho arejea kwao, Simba wataja sababu
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa kupitia ukurasa wa Twitter wa Klabu ya Simba SC, imeelezwa kuwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo yenye makazi yake Kariakoo Jijini Dar es Salaam, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil.
Taarifa hiyo imeeleza kuwa Robertinho amerejea kwao kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu January kuendelea na majukumu yake.
Aidha kocha msaidizi Juma Mgunda ndiye ataiongoza Simba kwenye mchezo unaofuata wa Azam Sports Federation Cup dhidi ya Coastal Union kati ya January 27-29, 2023.
January 03, 2023 mbele ya Mkutano na Wanahabari Simba ilimtambulisha Mshambuliaji huyo wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil na vilabu vya Fluminense, Flamengo, Palmeiras, Internacional, Sport, Atlético Mineiro na Grössembacher kuwa Kocha wao Mkuu akichukua nafasi iliyoachwa na Zaran Maki.
Robertinho mwenye umri wa miaka 62 alitua Simba na kusaini mkataba wa miaka miwili baada ya kuachana na Klabu ya Vipers Fc aliyoingoza kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Uganda pamoja na kutinga hatua ya Makundi ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.
- Mfumo wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Online
- MAJINA ya walioitwa kwenye usaili Idara ya Uhamiaji 2023
- Wachezaji wapya waliosajiliwa Simba na Yanga dirisha dogo 2022/2023
- MATOKEO ya droo raundi ya 32 na 16 Bora ASFC 2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- NECTA: Matokeo ya Darasa la nne 2022/2023
- NECTA: Matokeo ya Kidato cha Pili 2022/2023
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
- Simba yapangwa kundi C CAF Champions League 2022/2023
- Yanga yapangwa kundi D CAF Confederation Cup 2022/2023
- RATIBA ya Yanga CAF Confederation Cup 2022/2023 hatua ya Makundi
- RATIBA ya Simba CAF Champions League hatua ya Makundi
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.
Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.
The post KOCHA Robertinho arejea kwao, Simba wataja sababu appeared first on Nijuze Mpya.
No comments:
Post a Comment