CV ya Imani Kajula CEO wa Simba Sports Club - EDUSPORTSTZ

Latest

CV ya Imani Kajula CEO wa Simba Sports Club

CV ya Imani Kajula CEO wa Simba Sports Club

CV ya Imani Kajula CEO wa Simba Sports Club

CV ya Imani Kajula CEO wa Simba SC, CV ya Imani Kajula Simba, Imani Kajula Simba SC, Imani Kajula Simba Sports Club, Cy ya Imani Kajula Simba Sports Club Tanzania, Cy ya Imani Kajula Simba Tz, Mfahamu Imani Kajula CEO Simba SC Tanzania, Imani Kajula Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba Sports Club.

CV ya Imani Kajula CEO wa Simba Sports Club

CV ya Imani Kajula CEO wa Simba Sports Club

Imani Kajula ni mwanachama wa muda mrefu wa Klabu ya Simba, mbobezi katika masuala ya Kibenki na Masoko akiwa na uzoefu wa kutosha aliouvuna akihudumu katika taasisi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa zaidi ya miaka 20.

Kajula pia ni mzoefu kwenye masuala ya uongozi wa mpira kwani alikuwepo kwenye Kamati ya Maandalizi ya Michuano ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 (AFCON U17) iliyofanyika nchini mwaka 2019.

Akiwa Mkurugenzi wa kampuni ya mawasiliano na masoko ya EAG Group Kajula alikuwa sehemu ya maandalizi ya Wiki ya Simba mpaka kilele chake (Simba Day) mwaka jana ambapo kampuni hiyo ndiyo ilitengeneza mitandao ya kijamii ya klabu hiyo.

Mwaka 1999 hadi 2003, Kajula alikuwa Meneja masoko wa Benki ya CRDB, na mwaka 2003 hadi 2006 alikuwa Mkurugenzi wa masoko na Biashara katika Benki ya Posta Tanzania (TPB), huku mwaka 2006 hadi 2013 alikuwa mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB.

Hadi anajiunga Simba SC leo Alhamisi tarehe 26 January 2023, alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa EAG Group aliyoingoza tangu mwaka 2013.

Alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano NMB kuanzia 2006-2013.

Alikuwa Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Posta kuanzia 2003-2006.

Alikuwa Meneja Masoko wa CRDB kuanzia 1999-2003.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

The post CV ya Imani Kajula CEO wa Simba Sports Club appeared first on Nijuze Mpya.Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz