AUCHO aongeza mkataba Yanga - EDUSPORTSTZ

Latest

AUCHO aongeza mkataba Yanga

AUCHO aongeza mkataba Yanga

AUCHO aongeza mkataba Yanga

Khalid Aucho Yanga, Khalid Aucho Young Africans SC, Khalid Aucho Dar Young Africans, Klahid Aucho Yanga sc, Klahid Aucho Uganga, Aucho Yanga SC, Aucho aongeza mkataba Yanga, Khalid Aucho Mchezaji wa Yanga, Khalid Aucho Kiungo wa Yanga, Aucho Yanga.

AUCHO aongeza mkataba Yanga

AUCHO aongeza mkataba Yanga

KIUNGO wa Yanga SC, Khalid Aucho maarufu ‘Doctor’ ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Yanga yenye makazi yake mtaa wa Jangwani Jijini Dar es Salaam.

Uongozi wa Yanga umeendelea kuhuisha mikataba ya Wachezaji wake ambao mikataba yao inaelekea ukingoni.

Yanga imejipanga na inahakikisha hakuna Mchezaji muhimu anaondoka Klabuni hapo.

AUCHO aongeza mkataba Yanga

AUCHO aongeza mkataba Yanga

Aucho mwenye umri wa miaka 29 alitua Yanga kwenye dirisha kubwa la usajili la 2020/2021 na kusaini mkataba wa miaka miwili akitokea klabu ya Makkasa SC ya nchini Misri.

Akiwa na jezi ya Yanga Aucho amekuwa nguzo muhimu kwenye safu ya kiungo ya Klabu hiyo na hii ndiyo imepelekea benchi la ufundi kuona umuhimu wa kumuongeza mkataba mwingine.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari za Michezo, Nijuze Habari, Nijuze Michezo, Nijuze TV App, Nijuze TV LIVE, Nijuze Habari Michezo, Nijuze Habari Magazeti, Nijuze Habari Ajira, Nijuze Habari Usajili, Nijuze Habari Matokeo, Nijuze Habari Usajili, saleh jembe michezo leo,habari za michezo
leo 2023, habari za yanga za leo, habari za simba za leo, Habari za Michezo leo 2023.

The post AUCHO aongeza mkataba Yanga appeared first on Nijuze Mpya.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz